dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Nahali ya uchumi wasasa kwa bei hiyo ipo juu sana punguza
Duuuu wakati mwingine anatamba kujenga Banda la Mil 40 kwa mwingine hiyo fedha ni ya kununulia mchanga pekeee. Safi sana vijana tupige kazi tutatoboa tu.
Ipo 150mil
Mkuu karibu uone hii tutaongea
Huyo anazengua tu. Bado anaishi kwa dada anatafuta kibaruaMkuu karibu uone hii tutaongea
Huyo anazengua tu. Bado anaishi kwa dada anatafuta kibarua
150? Mie nina 8m