liter Member Joined Oct 17, 2018 Posts 35 Reaction score 32 Mar 7, 2023 #1 Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Mar 7, 2023 #2 liter said: Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana Click to expand... Kisemvule kule wanauza mashamba sio vi-plots 2.5m hiyo bei ya hekari nzima
liter said: Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana Click to expand... Kisemvule kule wanauza mashamba sio vi-plots 2.5m hiyo bei ya hekari nzima
infantry JF-Expert Member Joined Dec 31, 2015 Posts 315 Reaction score 307 Mar 7, 2023 #3 Weka kwa mita mkuu,naona unaweka kwa futi ili kionekane kikubwa
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Mar 8, 2023 #4 ... standard unit ya viwanja ni meter na sio foot! Sema nauza kiwanja chenye ukubwa 24m x 15m acha kuchota watu akili ndani ya vipimo!
... standard unit ya viwanja ni meter na sio foot! Sema nauza kiwanja chenye ukubwa 24m x 15m acha kuchota watu akili ndani ya vipimo!
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Mar 11, 2023 #5 dudus said: ... standard unit ya viwanja ni meter na sio foot! Sema nauza kiwanja chenye ukubwa 24m x 15m acha kuchota watu akili ndani ya vipimo! Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii ndio tabia yao ya kiswahili huu ukanda wa kuanzia mbagala kwenda huko mpaka mkuranga Hata makampuni ya real Estate pia wanaweka vipimo kwa FT sio SQ Nafkir na mind trick ya kuwakamata waswahili coz wamejazana sana huko Huo ukanda kwa mtu anayejielewa ananunua kiwanja cha Biashara na sio makazi
dudus said: ... standard unit ya viwanja ni meter na sio foot! Sema nauza kiwanja chenye ukubwa 24m x 15m acha kuchota watu akili ndani ya vipimo! Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii ndio tabia yao ya kiswahili huu ukanda wa kuanzia mbagala kwenda huko mpaka mkuranga Hata makampuni ya real Estate pia wanaweka vipimo kwa FT sio SQ Nafkir na mind trick ya kuwakamata waswahili coz wamejazana sana huko Huo ukanda kwa mtu anayejielewa ananunua kiwanja cha Biashara na sio makazi