Plot4Sale Kiwanja kinauzwa (Kitunda, Magole)

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa (Kitunda, Magole)

kwadilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
756
Reaction score
898
Maelezo:
Kiwanja kipo Kitunda, Magole.
Wastani wa km 6 kutoka stand ya Banana/Nyerere Road
Kiwanja ni tambarare
Huduma ya maji, Umeme, na Barabara vyote vipo
Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 750 ( 30*25)
Bei ni Tsh. 7m
Mawasiliano: 0785 857564

magol.PNG

magole.PNG
 
Aisee mbona unauza bei ya hasara mkuu au ni cha kitapeli? Mbona bei ndogo sana? Ningekuwa na hela nisingejiuliza mara mbili.
 
Bei rahisi hichi kiwanja itakuwa huyu mwenye nacho amepatwa na shida.
 
Back
Top Bottom