Wacha tuone mkuu
Bado kipo?Maelezo:
Kiwanja kipo Kitunda, Magole.
Wastani wa km 6 kutoka stand ya Banana/Nyerere Road
Kiwanja ni tambarare
Huduma ya maji, Umeme, na Barabara vyote vipo
Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 750 ( 30*25)
Bei ni Tsh. 7m
Mawasiliano: 0785 857564
View attachment 1875210
View attachment 1875212