KIWANJA KINAUZWA KIVULE

KIWANJA KINAUZWA KIVULE

Hauwezi kukata na kuuza nusu? Mf ukakata na kutoa viwili 800sqm @each kwa 10 M?
 
Ushauri wangu ili upate hiyo hela haraka

Vikate viwanja..

40 x 40 = 1600 sqm. Hicho ni kiwanja kikubwa sana.

Hapo unakata viwanja vitano vya Sqm 300 kila kimoja.. inakuwa sqm 1500 jumla. Unabaki na sqm 100 ambayo nayo unaiuza kwa atakaetaka nyongeza.

Halafu unauza milioni 5 kwa kila kimoja.

Hapo ndani ya mwezi mmoja tu vinakuwa vimeisha umepata milioni 25 yako haraka.

Sqm 100 ya faida hela yake ndio unaitumia kutengeneza njia kila mtu afike kwake.

Ukigawanya mi nitakuwa mteja wako wa kwanza.. milioni 5 ninayo na sqm 300 zinanitosha
 
Back
Top Bottom