habari za leo.
kiwanja kinapatikana buyuni upande ambao kuna kituo cha mafuta cha Sheratoni
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1,000 ambayo ni 20m upana na 50m urefu.
Eneo bado halijapimwa
Bei ni 12,000,000/=
piga au tuma ujumbe mfupi 0713683422
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.