INAUZWA Kiwanja kinauzwa kwa makazi bora

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,178
Reaction score
4,410
Wana JF
Habari na poleni kwa mihangaiko ya kimaisha.
Kuna plot inauzwa kwa ajili ya makazi ipo Mtegu, karibu na Kibada.
Ina ukubwa wa futi 70 kwa 57.

Kipo karibu na barabara kuu ya kuelekea Kigamboni na mwendo wa dakika tano kwa miguu toka barabara hiyo kuu mpaka kilipo kiwanja husika. Bei ni milioni 8 na laki 3.
 

Attachments

  • IMG_20170112_091445.jpg
    272.7 KB · Views: 74
  • IMG_20170112_091559.jpg
    340 KB · Views: 64
  • IMG_20170112_091608.jpg
    364.2 KB · Views: 65
  • IMG_20170112_091653.jpg
    373.1 KB · Views: 70
  • IMG_20170112_091819.jpg
    352.2 KB · Views: 67
  • IMG_20170112_092011.jpg
    363.8 KB · Views: 64
  • IMG_20170112_092426.jpg
    287.8 KB · Views: 71
  • IMG_20170112_092448.jpg
    286.1 KB · Views: 63
hizo futi hebu weka mita,,halafu sema kina hati au,,,vp huduma za jamii zipoo
 
Ni squarter au kimepimwa? Na kama kimepimwa hati ipo?
 
kama hakuna dalali wala udalali ungeanza kusema nauza kiwanja changu na sio kuna plot inauzwa
 
habari mkuu,
mkuu vipi hiyo inapungua kidogo?
 
70mx57m interesting....

Hakina mgogoro mkuu? Ukitaka kukiona siku gani unapatikana?
 
asante ndugu..kwa wastani ni km ngapi kutokea feri kwenye panton
Mkuu sina utaalam sana ktk vipimo vya km ila kwa msaada yaani km dakika 10-15 kwa gari kutoka feri km sijakosea wakuu
 
siku hiz viwanja hadi laki 3 wwe uuze mlion 8 za nn chezea magu
 
siku hiz viwanja hadi laki 3 wwe uuze mlion 8 za nn chezea magu
Usishangae laki3 mkuu au hiyo milioni8 unaweza pata kiwanja hata elfu ishirini ila unajiuliza wapi eneo hilo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…