INAUZWA Kiwanja kinauzwa kwa makazi bora

siku hiz viwanja hadi laki 3 wwe uuze mlion 8 za nn chezea magu
Usishangae laki3 mkuu au hiyo milioni8 unaweza pata kiwanja hata elfu ishirini ila unajiuliza wapi eneo hilo??
 
Usishangae laki3 mkuu au hiyo milioni8 unaweza pata kiwanja hata elfu ishirini ila unajiuliza wapi eneo hilo??
haha haha noma sana nmeuziwa laki tano huko huko
 
70mx57m interesting....

Hakina mgogoro mkuu? Ukitaka kukiona siku gani unapatikana?
MBONA UMEGUNA MKUU,,,PANA FUKA MOSHI NINI HAPO AU BEI IMEKUA NDOGO SANAAA...WAKAZI WA HUKO NAOMBA MTUAMBIE TUSIJEUNGUA MOTO WA GESI,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…