Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,547 Reaction score 11,831 May 15, 2025 #1 Kiwanja kipo Madale, Mivumoni kids joy. Ukubwa ni Mita 15 kwa 33, Hati ya serikali ya mtaa na hakina mgogoro, mafuriko wala shida yoyote. Bei Milion 20 (20m) Kwa maelezo zaidi kuhusu kiwanja hiki hizi hapa namba za Sister anayehusika na kiwanja (Mimi nimemsaidia tu kulifikia soko) 0754656274 View attachment 3334816View attachment 3334817View attachment 3334818
Kiwanja kipo Madale, Mivumoni kids joy. Ukubwa ni Mita 15 kwa 33, Hati ya serikali ya mtaa na hakina mgogoro, mafuriko wala shida yoyote. Bei Milion 20 (20m) Kwa maelezo zaidi kuhusu kiwanja hiki hizi hapa namba za Sister anayehusika na kiwanja (Mimi nimemsaidia tu kulifikia soko) 0754656274 View attachment 3334816View attachment 3334817View attachment 3334818
Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,766 Reaction score 3,500 May 16, 2025 #2 Hivi serikali ya mtaa pia Ina mandate ya kutoa hati za viwanja?
Don Masanja JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 1,136 Reaction score 1,118 May 16, 2025 #3 Arizona 1 said: Hivi serikali ya mtaa pia Ina mandate ya kutoa hati za viwanja? Click to expand... Haina mamlaka bali wanatoa hati ya mauziano
Arizona 1 said: Hivi serikali ya mtaa pia Ina mandate ya kutoa hati za viwanja? Click to expand... Haina mamlaka bali wanatoa hati ya mauziano