Kiwanja kinauzwa maeneo ya Goloka-Mbagala

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Kiwanja kinauzwa maeneo ya goloka-mbagala. Ukubwa wake ni ft 14/13. Bei yake ni shilingi milioni mbili. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na mwenye kiwanja(si dalali) kupitia namba 0713769416.
 
Mkuu, ft14/13 inatosha hata kujenga fremu ya duka?
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya goloka-mbagala. Ukubwa wake ni ft 14/13. Bei yake ni shilingi milioni mbili. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na mwenye kiwanja(si dalali) kupitia namba 0713769416.
Duh! Yaani mita 4×3 yaani 12 square meters unauza 2M halafu Mbagala, au kipo pembeni ya kilwa road?
 
Ni ft 14/13 mkuu. ikiwa unahitaji, wasiliana na mwenye nacho namba nimeweka hapo. Hayo ndo yalikuwa maelezo yake.
 
Yuko sahihi mkuu
(14ft × 13ft)= (4.2m × 3.9m)=16.39sq

Hiko kiwanja mbona kidogo sana ....

Hebu muulize vizur huyo mmiliki hz details alizokupa km ziko sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…