Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Mwanagati (Dar es salaam )

Mgavi Fulani

Senior Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
110
Reaction score
38
HABARI WANA JF HUSIKA NA KICHA CHA HABARI HAPO JUU.

KIWANJA KINAUZWA

Maeneo ya Mwanagati karibu na shule ya Mzinga English Medium.

Umbali wa kilometa 7 kutoka Banana ( Nyerere Road ).

Eneo: 35,394 sqm.

Bei: 800,000 USD ( Maongezi yapo ondoa shaka ).

ENEO:

Limepimwa na lina Hati halali ya umiliki. ( Lilinunuliwa kwa matumizi ya shule ).

Kuna nyumba moja ya vyumba viwili na sebule.

Lina Mazao: ( minazi na miembe).

Pia lina Mnara wa simu ( Airtel ).

Maji na umeme vinapatikana

KWA MAWASILIANO ZAIDI:

+255 716 808 888

+255 655 823 141

KARIBUBI NYOTE.

Nimeweka baadhi ya picha hapo chini kuonyesha hali halisi ya eneo hilo.


 


Kitunda Magole(Kiwanja)
Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 20 X 20 Miguu.

Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M

Contact: 0715-240140
 
=1760000000 Kwa mtu mweye malengo ya uwekezaji mkubwa ananunua, ila nina wasi wasi huenda dalali keshaweka cha juu kikubwa tu.
Hiyo namba ni ya kwangu. Hakuna mkono wa dalali hapo. Ndio maana nikaandika maelewano yapo. Ni kikubwa kwa uwekezaji. Hiko kiwanja ni cha mzee na mimi ndio nimeanza leo rasmi kutafuta mteja. Atakayekuwa tayari nikikubali mimi basi ndio biashara imekwenda. Bado sijawaza kutafuta madalali. 10% zinauma.
 


Kitunda Magole(Kiwanja)
Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 20 X 20 Miguu.

Pamepimwa Kienyeji kwa Mpangilio Mzur kwa Makazi bora.

8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.

Bei: 6.5M

Contact: 0715-240140
mkuu bado haujauza hiki kiwanja tokea utoe tangazo kipind kile .. basi punguza bei yawezekana ndyo kikwazo kwako
 
Usd 800,000 = 1,760,000,000 TZS ukiigawa kwa hizo sqm 35,395 utapata about 50,000 TZS per Sqm.

Be Serious bro, kama kweli unataka kufanya hiyo biashara!! Mwanagati 1 SQM should be about 12,000 so hiyo bei yako angalau ili ifikirike kuuzika, unapaswa kuigawa kwa 4 ambayo ni dola laki 2 that is the maximum price you can sell that land.
 
Asante kwa ushauri.

But i mean business kwa hiyo niloweka. Na maongezi yapo, atakayekuja tutaongea. Ila kunipangia bei hahahaha asante kaka. Njoo uone plot ilipo kwanza.
 
Kama huna uwezo we pita tu. Hajashikiwa mtu bunduki wakuu... Ukianza criticize mtu kwa kitu chake, basi chukua chako uza tu hiyo bei rahisi. Hiki hakina presha kitauzwa tu hata miaka ijayo! It is not on urgent need. Ni uwekezaji tu tunataka badili kwa sasa.

Ahsante kwa wote wapunguza bei vitu vya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…