Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Ursino kipo karibu na Barabara ya Bagamoyo Victoria

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa maeneo ya Ursino kipo karibu na Barabara ya Bagamoyo Victoria

vanniglo

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
68
Reaction score
57
Kuna kiwanja cha ukubwa wa mita za mraba 1500..

Kipo mtaa wa uporoto ni mita 15 katoka Barabara ya bagamoyo..

Kipo karibu katikati ya kituo cha Victoria na Morocco..

Piga namba 0769338868 au email masanche2008@gmail.com kwa maelezo zaidi.. Hakuna dalali.
 
Umejiroga mwenyewe, Si umesema hakuna dalali au?
Wakati mwingine mtoage rizki kwa wenye kazi zao ee!

Nawachukia madalali. Mnunuzi atapatikana tu hakina deadline kwamba lazima kiuzwe kesho.
 
Nawachukia madalali. Mnunuzi atapatikana tu hakina deadline kwamba lazima kiuzwe kesho.
Hahahahaaaaa! Haijawahi tokea ila Si mbaya kujifariji.

Endelea Kuwachukia Madalali tu.
Lakini kwa muelekeo wako huu labda auze mtu mwingine Abadan Si wewe.

Nitakutafuta January 4,2017.
Kukuulizia umefikia wapi.
Umesema HAINA DEADLINE Si eti vile?

Nijichekee mie
 
Back
Top Bottom