Umejiroga mwenyewe, Si umesema hakuna dalali au?Bado kipo
Umejiroga mwenyewe, Si umesema hakuna dalali au?
Wakati mwingine mtoage rizki kwa wenye kazi zao ee!
Hahahahaaaaa! Haijawahi tokea ila Si mbaya kujifariji.Nawachukia madalali. Mnunuzi atapatikana tu hakina deadline kwamba lazima kiuzwe kesho.
Unauzaje kaka? Kimezungushiwa ukuta? Kina kibanda chochote ndani?Bado kipo piga 0769338868