MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako! - JamiiForumsKiwanja kiwanja kinauzwa nusu heka, ukita hatua unakatiwa kiasi kulingana na bajet yako tunakata kuanzia milion 5 kwendelea, nusu heka bei ni 18 kuna nyumba ndani haijaisha,Maeno ya Kigambo kabla ya mradi wa NHC Dege kiwanja kiko barabarani kwenye barabara ndogo sio ya lamami ya vumbi kwamaelezo zaidi piga 0735-4722-32
Natafuta kiwanja maeno ya kigamboni Kuna umeme maeneo hayo?Kiwanja kiwanja kinauzwa nusu heka, ukita hatua unakatiwa kiasi kulingana na bajet yako tunakata kuanzia milion 5 kwendelea, nusu heka bei ni 18 kuna nyumba ndani haijaisha,Maeno ya Kigambo kabla ya mradi wa NHC Dege kiwanja kiko barabarani kwenye barabara ndogo sio ya lamami ya vumbi kwamaelezo zaidi piga 0735-4722-32
Umeme bada kuna nguzo za umeme zimeishia umbali wa mita mia wanaendelea na usimikaji wa nguzo.Natafuta kiwanja maeno ya kigamboni Kuna umeme maeneo hayo?
karibu ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni umeme na maji vipo.pia kipo karibu na barabara ya lami.PM or 0624748884Natafuta kiwanja maeno ya kigamboni Kuna umeme maeneo hayo?
Nyie ndio matapeli weka tangazo lako tulipitie weka na picha viwanja ambavyo viko pembezo mwa barabara ya lami vinauzwa bei kubwa na vingi vina kesi za utapeli tatu kigamboni hakuna mradi wa maji ni visimakaribu ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni umeme na maji vipo.pia kipo karibu na barabara ya lami.PM or 0624748884
Inawezekana kiwanja kipo chamsingi alitakiwa akumbie kigamboni sehemu gani pia alitakiwa akutajie na bei japokua sio vizuri kutangaza biashara juu ya biashara.karibu ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni umeme na maji vipo.pia kipo karibu na barabara ya lami.PM or 0624748884