Noriega Jr
Senior Member
- Apr 12, 2014
- 168
- 59
Milioni 7? Acha tamaa wewe.
Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5
Na kuna umeme.
Acheni bei za tamaa.
Hicho nunua tu mwenyewe.
Hujalazimishwa kama hutaki kununua kaa kimya mbwiga wewe.
Milioni 7? Acha tamaa wewe.
Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5
Na kuna umeme.
Acheni bei za tamaa.
Hicho nunua tu mwenyewe.
m.7 kwa majohe tena 20x20. mkuu hiyo bei kubwa,