Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Maramba mawili Dar es salaam 23 kwa 20

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Maramba mawili Dar es salaam 23 kwa 20

mwakyambikig

Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
89
Reaction score
34
Kiwanja kipo maramba mawili eneo la king’azi, ukubwa 23 kwa 20,

Sifa ya kiwanja
1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari,
2. Hakipo mbali na Barabara ya tanroad inayotokea maramba kwenda mloganzila unaiyona ukiwa eneo la tukio.
3. Umeme na maji vimepita mpakani mwa kiwanja husika,haina haja ya kuongeza nguzo nyingine,
4. Usafiri wa bajaji na magari ya kukatiza rout yapo mengi kutokea mbezi stand ya Magufuli
5. Unaweza kutembea kwa mguu, kutoka Barabara ya lami, kinyerezi-mbezi route
6. Utulivu na nyumba zimejengwa kisasa zaidi
7. Mimi nimejenga hapo hapo kwa mbele, vipande vilikuwa viwili, nimeamua nibaki na hiki kimoja nilichojenga, hiki kingine nakiuza kwakuwa nina shida na pesa.
8. Kimepimwa kwa hatua za awali, mauziano yatafanyika ofisi za Serikali za mitaa.

9. Bei ni million 8,200,000/=

Piga simu au whatsapp 0693300971

IMG_0596.jpg

IMG_0595.jpg


IMG_0592.jpg





IMG_0593.jpg
 
Ngoja mkeka wangu wa wiki utoke nitakuja kukucheki mkuu maana bado team 3 tu nipige mpunga
 
Nina kiwanja nauza kiko viwege kwa mpemba, gongolamboto
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 22

Mazungumzo yapo

0685223804
 
Back
Top Bottom