Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Kiwanja kina ukubwa wa square meter 1600, barabara ya gari ipo hadi kwenye Kiwanja, umeme upo mita300 hadi kufika kwenye Kiwanja.
Bei milioni 15/-
Maeneo ya kinzudi. mbele kidogo ya salasala.Kwa Kandoro ndiyo wapi mkuu?
Maeneo ya kinzudi. mbele kidogo ya salasala.
OK, huu ugeni wa mji utatumaliza! Na huko Salasala sikujui...achilia mbali Kunzudi! Ngoja nipate mwenyeji anielekeze!