Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbande

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbande

90sgeneration

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
421
Reaction score
502
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye.

Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so maongezi yapo hamtashindwana, bei 4M ft.

超级截屏_20240606_155511.png
超级截屏_20240606_155449.png
 
20m kwa 4millions ni nyingi mno, afu tena mbande unapita hadi mvuti
 
Muuza kiwanja ongeza nyama.

Kiwanja kipo mbande eneo gani na mtaa gani ?

Mbande ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom