90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 443
- 539
i know, thats why if uko interested nitakuconnect na mmiliki mkubaliane, thats all mkuuMbande kwa 4ml ni nyingi
Sio maeneo yanakaribia chamazi,ni kupita chamazi.Mbande....ni maeneo yanakaribia Chamazi...off Chanika
Ili kionekane kidogo?Weka vipimo kwa meter tu sheikh
Mxieeeeww π€£π€£π€£Ah huko porini sana, utang'atwa na nyoka
Tutafute mjini my πMxieeeeww π€£π€£π€£
Mpare bahili weyeee.!! Nimecheka hiyo kungβatwa na snake lol.!!
πππ Basi kijichi au gobaTutafute mjini my π
Tukutane goba myπππ Basi kijichi au goba