Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 432
- 703
Kiwanja Hiki kimepimwa, mawe yasha wekwa, Hati ndio zinatolewa mwezi Aprili,kwasasa kuna hati za mauziano ya Serikali zamitaa na mkataba wa kisheria wa mauziano.
Kina ukubwa wa 520sqm(Angalia picha zilizo ambatanishwa na tangazo hili kukiona vizuri)
Maji Bomba kubwa la mtaa liko mita 10 tu kutoka site ilipo mtaa mzima washa fungiwa ma bomba na mita, maji yanatoka kila siku, Kisima kikubwa cha Dawasa kiko Maeneo hayo kimezinduliwa january na Waziri wa maji.
Umeme upo nyumba za pemben huitaji nguzo.
Eneo: Mbezi beach ya Salasala, Mtaa Wa Nanyumbu.
Bei: 17Milion (ingawaje madalali wana kitangaza kwa 20milion) ukipitia kwangu una save 3milion.
Sababu za kuuza: Nimepata Dharura ya Mgonjwa wa matibau ya nje ya nchi.
Mawasiliano yangu mimi Mmiliki mwenyewe hakuna dalali:
j