Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Eneo la kiwanda kumbuka?Hizo ni karibu heka 3, shamba hilo mkuu
Namba ya simu ipo mkuu3B ikifaa nije
Nichek mkuuCC: Riziwani
Sawa, ila si mchezo. All the bestEneo la kiwanda kumbuka?
Bila Shaka mkuuBil 3.8 ausio
Nusu hekaHizo ni karibu heka 3, shamba hilo mkuu
Duuh, juzi nimechukua halmashauri mojawapo hapa nchini kiwanja cha ukubwa huo kwa TZS 2,880,000/-.Habari maboss.
Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu.
Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200
Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina hati kwajili ya matumizi ya kiwanda.
Kiwanja hiki kinafaa kwajili ya kwajili ya matumizi ya uwekezaji wa Yard au Apartment kaliiiii.
Kiwanja Kinauzwa
Billion 3.8
Sqm 12,000
Hati ya wizara
Kwa mawasiliano Zaidi nipigie simu nikupeleke.
📱0754693556
Si mchezoHabari maboss.

Sio mbezi beach lakiniDuuh, juzi nimechukua halmashauri mojawapo hapa nchini kiwanja cha ukubwa huo kwa TZS 2,880,000/-.
Sio mkuu,Sio mbezi beach lakini