Kiwanja kinauzwa mbezi beach

Jonayz72

New Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Nauza kiwanja kipo mbezi beach medium density kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa 0688 308967
 
weka bei mukubwa!mbezi beach kubwa!kuwa specific ni sehemu gani watu waingize dau!je kimepimwa?ukubwa ni sqm ngap?
 
Kaka weka picture,piga hata kwenye cm kaka uweke watu wajionee live ili mtu haweze kuona na anegotiate deal.
 
weka bei mukubwa!mbezi beach kubwa!kuwa specific ni sehemu gani watu waingize dau!je kimepimwa?ukubwa ni sqm ngap?

Ni medium density kimepimwa na kina ofa, kipo mbezi high school upande wa kulia kuelekea bagamoyo mtaa wa pili 150m.Tsh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…