Kiwanja kinauzwa Mbezi Masana unaingia ndani 3km kina title D na ni hekari mbili na kina nyumba ya vumba 5 aijamalizika bado milango na madirisha na kupiga plasta (Finishing tu imebaki) sehemu ni tambarare bei ni 180 Mil maongezi yapo
Wasiliana kwa namba hii 0754/0715-297298.
Aache utapeli, aseme Goba, 3km kutoka kutoka barabarani ni Goba.Sasa mkuu mbezi masana na mbezi beach!!.
Wapi na wapi?
Yaani kwa bei hio mbezi beach! Dooh kidogo nikupigie!