Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Juu

Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Juu

Sweet Sucker

Member
Joined
Jan 7, 2020
Posts
42
Reaction score
49
Ukubwa 400 mita za mraba Bei tshs 3.5milioni.
Skwata, mwenye kiwanja kajenga jirani

Gari haifiki..
0686648630
IMG_20200627_074823.jpg
 
Ahahahaha, bila shaka itakuwa ni karibu na Pori la jeshi au karibu na Makongo juu.
Maeneo mazuri yametulia tuli
 
Kina nyaraka gani za umiliki mkuu!?
Pia nipe location ya kueleweka Mbezi juu ndio wapi!?

Umeandika gari haifiki,,, inamaana hakuna road inayofika hapo kwenye plot!?
 
Back
Top Bottom