Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA MBEZI KWA MSUMI BEI RAHISI

Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA MBEZI KWA MSUMI BEI RAHISI

nanjehedi

Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
35
Reaction score
18
Wakuu kiwanja kinauzwa Mbezi kwa Msumi.
Ukubwa ni 20 kwa 20.
Bei, kinaanzia milioni 5 (kwa mnunuaji mazungumzo yatazingatiwa)
Kiwanja kipo eneo tambarare na kipo jirani kabisa na barabara,pia kutoka Mbezi Mwisho ni safari ya daki 7 mpaka 10 kwa Noah ambapo nauli ni Tshs.500 tu.Njoo uchukue kiwanja kwa bei nafuu na hutakijutia.
Mawasiliano. 0655 44 64 60
 
Back
Top Bottom