mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
TehMilion 22 si nyumba iyo achen utani na hela matatizo hayatatuliwi njia hiyo
Unafaham thaman ya ardhi na location yake? Hakuna kitu chenye thaman kama ardhi na kila siku inaongezeka...sembuse mil 22 watu wananunua had mil 50 kiwanja..kama huna pesa nyamaza...Milion 22 si nyumba iyo achen utani na hela matatizo hayatatuliwi njia hiyo
Acha siasa kama huna uwezo kaa kimya..usiharib biashara za watu.....hujui thaman ya ardhi na location yake...kuna viwanja had vya mil 50 sema sina pesa...ardhi kila siku inapanda dau...Milioni 22, duh, nimejenga nyumba bado kuezeka tu imecost milioni 18
Acha siasa kama huna uwezo kaa kimya..usiharib biashara za watu.....hujui thaman ya ardhi na location yake...kuna viwanja had vya mil 50 sema sina pesa...ardhi kila siku inapanda dau...
swali, kwanini ardhi ipande thamani kila siku ilhali ardhi ni ile ileAcha siasa kama huna uwezo kaa kimya..usiharib biashara za watu.....hujui thaman ya ardhi na location yake...kuna viwanja had vya mil 50 sema sina pesa...ardhi kila siku inapanda dau...
Kina hati?Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..
kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya kusawazisha.
Kwa mawasiliano piga simu no 0782 873523 dalali haitajiki.
Karibuni
awamu hii huuzi hicho kiwanja kwa hiyo bei.. hata nusu bei tu kuuza ishu
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..