Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe 20*20

fuvu la paka

Senior Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
133
Reaction score
76
Wakuu hodi humu ndani..nauza kiwanja mbezi makabe ni kizuri tambarare ukubwa wake ni 20* 20 bei poa..

Samahani sina picha zake nilipoteza simu na picha zote lkn ni kizuri kama mtu anauhitaji wa hicho ninauhakika hawezi kukiacha
Mil.8.maongezi yapo
Mawasiliano piga
0625 568 600
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…