KIWANJA KINAUZWA β MBEZI MAKABE (KWA PAULO)
π Mita 150 kutoka Barabara Kuu ya Mbezi Makabe, kimepakana na barabara kuu ya mtaa.
π Kiwanja kimepimwa
Ukubwa: 4,333 mΒ² (Takribani Ekari 1.07)
β
Eneo Kuu: 3,131 mΒ²
β
Swamp: 1,202 mΒ²
β Sifa za Kiwanja
βοΈ Eneo ni tambarare, halina mabonde wala milima.
βοΈ Ndani kuna nyumba ya vyumba 3 na kisima kikubwa cha maji.
βοΈ Kinafaa kwa Daycare/Nursery School, Apartment, ufugaji wa kuku, makazi ya kisasa na uwekezaji mwingine.
Bei: TSh Milioni 180 (Maongezi yapo)
π Wasiliana: 0675 065 906