Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Maramba Mawili King'azi B

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
333
Reaction score
404
KIWANJA KIZURI KINAUZWA !!
Maramba Mawili King'azi B
Kina mita 32x28~sqm 896

Kiwanja kinasifa hizi;

✅️Kinapakana na barabara ya kubwa ya mtaa huo ambapo
Unaweza jenga nyumba ya kuishi na fremu za biashara za kutosha
✅️ Hakiko mabondeni

✅️ Mipaka yake iko wazi inaonekana

✅️ Nyaraka halali za Mkataba wa mauziano

Kiwanja kinauzwa Mln 37.5 maongezi kidogo yapo

0675 065906
 
Kiwanja bado kipo Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…