Naunza kiwanja changu kiko Mbezi Msakuzi kilomita 2.5 kutoka mbezi mwisho. Umeme upo palepale site na huduma zingine za jamii zipo. Kimeshafanyiwa preminary survey. Ukubwa: mita 20 kwa mita 21.Bei 6.8 milioni. Kwa maelezo zaidi piga 0659 402124.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app