Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Sqm 1100

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Sqm 1100

Kwa bonde hilo na sumenti ilivopanda, wacha wenye meno wale..
 
Viwanja vya mbezi mwisho vyote bei zinachezea 20m kwenda mbele,madalali mbingu mtaisikia tu.
 
hiyo bei mkuu labda tusubiri mwendokasi zikianza kwenda mlandizi kupita mbezi
 
Hakina mgogoro?
wewe siyo muhitaji, Muhitaji hawezi ulizia mgogoro, kwenye tangazo.
Muhitaji hapa, huulizia eneo kiwanja kilipo, upande gani ukiwa mbezi, kujua kiwanja hakina mgogoro mpaka ufiki eneo kiwanja kilipo, ukikiona unafanya ziara ya kwako, kuchunguza unalotilia shaka, kupitia watu wa karibu, eneo lilipo mpaka ujiridhishe.
 
Back
Top Bottom