kiwanja kipo mbezi mwisho,mita 800 kutoka barabara ya zamani ya morogoro kinaukubwa wa mita 70 kwa 25,pia kuna nyumba ya vyumba viwili yaani bedroom na sittingroom na chumba kimoja cha biashara,umeme upo. kwa anaye hitaji namba yangu ya simu ni 0714238436,bei yake ni sh.65 mil.