Habari wadau,
Wakuu nauza kiwanja mbezi malamba mawili kina upana wa 20m kwa urefu wa 27 kipo eneo lilichangamka sana, ni umbali wa mita 300 kutoka barabara kubwa mpya ya lami ya kinyerezi mbezi. Umeme upo. Hy sehemu inafaa sana kwa makazi na frame za biashara sababu kipo kwa mbele kimepakana na barabara ya mtaa. Tuchekiane PM for more info.
Bei ni milioni saba..(7m)! Instalment inakubalika kwa utaratibu maalum.