Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbutu Kigamboni na kakibanda chake

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbutu Kigamboni na kakibanda chake

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,563
Kuna eneo linauzwa ambalo liko na kibanda chake, maeneo ya Mbutu kigamboni. Unaeza hcho kibanda ukakiendeleza kwa makazi au unaeza kuamua kufanya ufugaji pia au unavyopenda mwenyewe.
•Ukubwa ni mita 20 kwa 25
•Kiko center
•Nauli kwa daladala kutoka fery ni 1000/
•Nguzo ya umeme iko karb na hlo eneo
•Kiko kilomita 2 kutoka baharini (beach)
•Bei ni milion 5 pungufu unaongea. Karibuni sana.
Kwa biashara waweza kunichek 0713806766.

IMG20201118140238.jpg
IMG20201118140303.jpg
 
Back
Top Bottom