mwanzadalali
New Member
- Jul 30, 2020
- 2
- 2
Kiwanja kipo Buhongwa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya lami Mwanza-Shinyanga.
Kiwanja kimeshapimwa na ukubwa wa kiwanja ni 20m*27m.
Huduma zote za kijamii kama maji, umeme zipo pembezoni mwa kiwanja.
Kiwanja kinafikika kwa urahisi.
Bei ya kiwanja ni million 4.5, mazingumzo yapo kidogo.
Call/text/whatsap 0762211774 or 0622355789.