Plot4Sale Kiwanja kinauzwa million 4.5, Buhongwa- Mwanza

mwanzadalali

New Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
2
Reaction score
2
Kiwanja kipo Buhongwa kilomita 1.6 kutoka barabara kuu ya lami Mwanza-Shinyanga.

Kiwanja kimeshapimwa na ukubwa wa kiwanja ni 20m*27m.

Huduma zote za kijamii kama maji, umeme zipo pembezoni mwa kiwanja.

Kiwanja kinafikika kwa urahisi.

Bei ya kiwanja ni million 4.5, mazingumzo yapo kidogo.

Call/text/whatsap 0762211774 or 0622355789.

 
Usipopata mteja nistue niko na 2m hapa, taslimu.
 
Njoo inbox tuongee
 

Boss kikikoswa mteja nishitue zipo 2.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…