Kiwanja kinauzwa mita 20 kwa 40 salasala-kinzudi

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa mita 20x40
maeneo ya kinzudi usukumani.
Mkataba wa mauziano na cheti cha umiliki toka halimashauri ya wilaya kinondoni kinachotolewa na serekali za mtaa.
UMEME HAUHITAJI NGUZO YAANI UNASHUSHA TU WAYA.
bei mil 18
0717017820
MAZUNGUMZO KUHUSU BEI YAPO
 
Mkuu una kashfa ya utapeli humu nakumbuka hujawahi kanusha
 
Mkuu una kashfa ya utapeli humu nakumbuka hujawahi kanusha
Hiyo kashifa ilikanushwa na muhusika alishindwa kuthibitisha, najambo lenyewe lilikuwa ti-shirt ambapo mhusika hakuridhisha na utendaji wa mfanyakazi wetu lakini siyo kwamba kuna kitu chochote mimi nilimtapeli, sijawahi kuwa na kesi hata moja.
 
mmmh na kweli ngashtuka kidogo niingie kingi

Hiyo kashifa ilikanushwa na muhusika alishindwa kuthibitisha, najambo lenyewe lilikuwa ti-shirt ambapo mhusika hakuridhishwa na utendaji wa mfanyakazi wetu lakini siyo kwamba kuna kitu chochote mimi nilimtapeli, sijawahi kuwa na kesi hata moja.
 

Mbona aujaweka bei mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…