Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mlandizi Msufini, SQM 753

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mlandizi Msufini, SQM 753

Exogenous Factor

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
1,401
Reaction score
2,336
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka kiwanja kilipo ni takribani mita 600 tu.
Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.
Bei ni Tsh. 9.5 Milioni.
Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.

Karibuni.

KIMEISHAUZWA.
AHSANTENI SANA.
 
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini, kina ukubwa wa SQM 753 ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka kiwanja kilipo ni takribani mita 600 tu.
Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.
Bei ni Tsh. 9.5 Milioni.
Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.

Karibuni.

Mods tafadhali msifute uzi wangu. Huu ni wa pili baada ya kuufuta wa kwanza.
Ukipata cha square meter 1000 hivi nishtue.
 
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka kiwanja kilipo ni takribani mita 600 tu.
Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.
Bei ni Tsh. 9.5 Milioni.
Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.

Karibuni.
Ukisema SQM 753 tukuelewe vipi mzee? [emoji848] Yaani ni ngapi kwa ngapi hebu kuwa specific? [emoji848]
 
Hii ndio namna nzuri ya kutambulisha kiwanja kwa mtu anayejua hesabu. Naona watanzania wengi mnachojua ni kusema square meters fulani ila mnasahau kuwa hauwezi jua mkao wa kiwanja bila kujua upana na urefu wake.
Ahsante kwa ushauri na nmeufanyia kazi.
Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom