Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Ukipata cha square meter 1000 hivi nishtue.Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini, kina ukubwa wa SQM 753 ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka kiwanja kilipo ni takribani mita 600 tu.
Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.
Bei ni Tsh. 9.5 Milioni.
Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.
Karibuni.
Mods tafadhali msifute uzi wangu. Huu ni wa pili baada ya kuufuta wa kwanza.
Bahati mbaya mimi si dalali. Ila nmepokea.Ukipata cha square meter 1000 hivi nishtue.
Ok, freshBahati mbaya mimi si dalali. Ila nmepokea.
Mbona nmesema mkuu. Nimesema ni karibu mita 600 kutoka morogoro road.Mkuu kusema kiko karibu ya Morogoro road haitoshi, sema umbali kwa usahihi km ni meter ngap
Ukisema SQM 753 tukuelewe vipi mzee? [emoji848] Yaani ni ngapi kwa ngapi hebu kuwa specific? [emoji848]Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na barabara ya Dsm-Morogoro maarufu morogoro road. Kutoka kituo cha magari Msufini mpaka kiwanja kilipo ni takribani mita 600 tu.
Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.
Bei ni Tsh. 9.5 Milioni.
Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.
Karibuni.
39.5 urefu kwa 19.01 upana!!Ukisema SQM 753 tukuelewe vipi mzee? [emoji848] Yaani ni ngapi kwa ngapi hebu kuwa specific? [emoji848]
Hakuna pesa ndogo ila kwa hiyo nakushukuru sana ndugu yangu.Nina milioni tatu mheshimiwa.Vip nikuletee?
Hii ndio namna nzuri ya kutambulisha kiwanja kwa mtu anayejua hesabu. Naona watanzania wengi mnachojua ni kusema square meters fulani ila mnasahau kuwa hauwezi jua mkao wa kiwanja bila kujua upana na urefu wake.39.5 urefu kwa 19.01 upana!!
Ahsante kwa ushauri na nmeufanyia kazi.Hii ndio namna nzuri ya kutambulisha kiwanja kwa mtu anayejua hesabu. Naona watanzania wengi mnachojua ni kusema square meters fulani ila mnasahau kuwa hauwezi jua mkao wa kiwanja bila kujua upana na urefu wake.
Nop!5Ml...!!
Deal?
yote hiyo mkuu. hiyo ndo bei .sasa anzia 2 ili mkutane hapoNina milioni tatu mheshimiwa.Vip nikuletee?