Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mlandizi Msufini, SQM 753

Kiwanjo bado kipo wakuu. Tumekishusha mpaka 9Milioni ndugu,karibuni!
 
Kikifika 7M uje PM
Kilishauzwa mkuu!!

Kipo kingine kinapatikana Wazo Mivumoni, SQM 1391,kina nyumba ya vyumba viwili na sebule,kina mabanda makubwa yanayofaa kwa ufugaji kuku manne.
Bei yake tumeishusha mpaka Milioni 100.
Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…