Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA MOROGORO

Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA MOROGORO

TURIAN

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
170
Reaction score
246
SALAMU NYINGI KWENU,
Kwa wale wanaotamani kuwa na makazi Morogoro, kuna jirani yangu anauza kiwanja kipo Morogoro mjini, Kata ya Mlimani, mtaa wa Kikundi.
kwa yeyote mwenye uhitaji huo ani-PM.
NOTE:
Mimi sio dalali ninachofanya nikukunganisha na mwenyewe.
Nawasilisha
 
Kimepimwa?
 
Toa mawasiliano yako au ya uyo jamaa yako pia weka bei
 
Back
Top Bottom