SALAMU NYINGI KWENU,
Kwa wale wanaotamani kuwa na makazi Morogoro, kuna jirani yangu anauza kiwanja kipo Morogoro mjini, Kata ya Mlimani, mtaa wa Kikundi.
kwa yeyote mwenye uhitaji huo ani-PM.
NOTE: Mimi sio dalali ninachofanya nikukunganisha na mwenyewe.
Nawasilisha
Kimepimwa?