Salama salimini
Senior Member
- Dec 2, 2013
- 191
- 39
Wakuu heshima kwenu!
Natafuta kiwanja Musoma mjini hasa maeneo ya Nyamatare. Pia Kama una namba ya dalali wa viwanja maeneo hayo nijulishe pse!
Kama ukihitaji maeneo ya nyabange kuvuka shule msingi kwa mbele kidogo nijulishe.
Mi pia nahtaj nyumba ya kupanga
Nyumba ya kupanga unaihitaji maenei gani na bajeti yako?