Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mvuti

Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mvuti

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
Nauza kiwanja changu maeneo ya Mvuti (kina msingi mkubwa wa nyumba ya vyumba vinne; viwili master, dining pamoja na jiko).

Kama unatoka Chamazi kipo mkono wa kushoto, ukiwa unatoka Chanika Kipo mkono wa kulia na kina ukubwa wa miguu 23 urefu kwa miguu 18 upana, ni kiwanja kwa ajili ya makazi.

Kiwanja kipo karibu na centre ya Mvuti, kutokea barabarani mpaka kilipo kiwanja ni mita800 tu.

Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.

Bei ni Tsh. 4.0 Milioni. Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu

0676721372
 
Nauza kiwanja changu maeneo ya Mvuti (kina msingi mkubwa wa nyumba ya vyumba vinne; viwili master, dining pamoja na jiko)
kama unatoka Chamazi kipo mkono wa kushoto, ukiwa unatoka Chanika Kipo mkono wa kulia na kina ukubwa wa miguu 23 urefu kwa miguu 18 upana, ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo karibu na centre ya Mvuti, kutokea barabarani mpaka kilipo kiwanja ni mita800 tu.

Kiwanja kimepimwa na Hati ipo.

Bei ni Tsh. 4.0 Milioni.
Karibu PM kwa mawasiliano na taarifa zaidi kama ramani ya eneo pamoja na picha au arrangements za kwenda kukiona.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu

0676721372
Mashenzini huku.
 
Back
Top Bottom