Plot4Sale Kiwanja kinauzwa mwanza 4300sqm

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa mwanza 4300sqm

Battor

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2019
Posts
1,964
Reaction score
3,496
Kiwanja kikubwa kinauzwa Mwanza chenye ukubwa wa zaidi ya square meter 4300.

Pia kina nyumba na miti mingi ya matunda na miti pori.

Kipo buzuruga Mwanza sehemu nzuri kwa kuwekeza real estate, hotel ama hata kuweka makazi.

Price imeshuka kutoka 400m hadi 250m tsh

Karibu.

4DA88726-AD98-4924-940F-A336759F9845.jpeg

4B3D0C67-C941-4110-A8BA-B0C05E01FC06.jpeg

Google map

7D033A1D-1800-4055-B4C3-F1C0D171C02C.jpeg

91A7BEB7-D632-4727-8F21-9EE87B8E8864.jpeg
 
Kiwanja kikubwa kinauzwa Mwanza chenye ukubwa wa zaidi ya square meter 4300.

Pia kina nyumba na miti mingi ya matunda na miti pori.

Kipo buzuruga Mwanza sehemu nzuri kwa kuwekeza real estate, hotel ama hata kuweka makazi.

Price imeshuka kutoka 400m hadi 250m tsh

Karibu.

Sasa mbona mliweka bei kubwa sana? Yaani unashusha kutoka 400 hadi 250? Hiyo 150 nani aliweka cha juu? madalali ndio wanaofanya vitu visinunuliwe mapema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]milion zimeshuka kutoka 400 had 250
Tumezingatia hali ya uchumi kwa sasa ili atayekimiliki hizo 150 zimsaidie kukiendeleza mkuu
 
Basi sawa! Mimi sina hiyo milioni 150 ya kununulia hicho kiwanja. Ila nilitamani kukiona tu hapa jukwaani kama fahari ya macho! Ila ndiyo basi tena. 😇
 
Basi sawa! Mimi sina hiyo milioni 150 ya kununulia hicho kiwanja. Ila nilitamani kukiona tu hapa jukwaani kama fahari ya macho! Ila ndiyo basi tena. 😇
Mkuu ni cha kawaida tu kama ulichonacho nyumbani bei imezingatia ukubwa, uwekezaji na eneo kilipo ni prime area. Kama uko mwanza nitafute nitembelee ukione mkuu.
 
Back
Top Bottom