Kiwanja kikubwa kinauzwa Mwanza chenye ukubwa wa zaidi ya square meter 4300.
Pia kina nyumba na miti mingi ya matunda na miti pori.
Kipo buzuruga Mwanza sehemu nzuri kwa kuwekeza real estate, hotel ama hata kuweka makazi.
Price imeshuka kutoka 400m hadi 250m tsh
Karibu.
Mkuu ni cha kawaida tu kama ulichonacho nyumbani bei imezingatia ukubwa, uwekezaji na eneo kilipo ni prime area. Kama uko mwanza nitafute nitembelee ukione mkuu.Basi sawa! Mimi sina hiyo milioni 150 ya kununulia hicho kiwanja. Ila nilitamani kukiona tu hapa jukwaani kama fahari ya macho! Ila ndiyo basi tena. 😇