Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza - Buhongwa

Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza - Buhongwa

Tojobizy

Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
23
Reaction score
19
Habari Wazee,

Mimi ni mmiliki halali wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha bado. Nimeamua kukiuza kutokana na changamoto mbili tatu ninazopitia.

Kiwanja kipo Mkoani Mwanza( Buhongwa) na kimepimwa tayari upimaji shirikishi, kina ukubwa wa 40 kwa 30.

Bei mil.6.5

N.B Hakihitaji dalali tafadhali.

Namba ya simu ni 0687259290 kwa mwenye uhitaji au anaehitaji kukiona.View attachment 2039394View attachment 2039396View attachment 2039395View attachment 2039397View attachment 2039398View attachment 2039399
 
Attachments

  • IMG-20211122-WA0003.jpg
    IMG-20211122-WA0003.jpg
    117.7 KB · Views: 5
Habari Wazee,

Mimi ni mmiliki halali wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha bado. Nimeamua kukiuza kutokana na changamoto mbili tatu ninazopitia.

Kiwanja kipo Mkoani Mwanza( Buhongwa) na kimepimwa tayari upimaji shirikishi, kina ukubwa wa 40 kwa 30.

Bei mil.6.5

N.B Hakihitaji dalali tafadhali.

Namba yangu ya simu ni 0687259290 kwa mwenye uhitaji au anaehitaji kukiona.
View attachment 2039364View attachment 2039365View attachment 2039367View attachment 2039366View attachment 2039368
Boma lina vyumba vingap
 
Boma lina vyumba vingap
Boma lina vyumba viwili kimoja self, sebule, dining, jiko, store na public toilet. Ila upande nilioweza kunyanyua ni Vyumba viwili, choo cha master bedroom na public toilet.
 
Back
Top Bottom