Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Njia panda(HIMO).

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,603
Reaction score
1,135
Eneo lipo HIMO pale njia panda ya kuelekea moshi mjini na arusha, Eneo ni kubwa lina UREFU: Hatua 65 na UPANA: Hatua 45, kiwanja ni tambarare na kipo umbali wa takribani mita 150 kutokea njia kuu ya mabasi yanayoelekea MOSHI na ARUSHA, kuna mji uliojengeka kwa makazi ya watu kuzunguka eneo hilo...maji na umeme vyote vipo, Kiwanja kimelipiwa documents zote manispaa hadi kufikia mwaka huu, Hakina tatizo au mgogoro wowote.

BEI YAKE NI MILIONI 6.8 ...maongezi yapo kwa atakayehitaji.

MAWASILIANO YANGU: 0712269097.
 
Hizo Hatua ni za Mtu kama Hashim Thabit au Tausi Bongo Movie??
 
mkuu habari...hizo hatua ni za mtu wa kawaida kama mie na wewe tu...sio ndogo wala kubwa sana bali ni medium size, kwa ukubwa eneo ni kubwa kama ni nyumba unaweza jenga ata nyumba ya vyumba 20 mkuu.
 
mkuu unavuka ule mto au kabla ya mto ukiwa unaelekea moshi
 
mkuu sijakuelewa ni mto upi unasemea haswa Ni UKIWA UNATOKEA DAR AMA UNAENDA MOSHI MJINI?....kwa ufupi kiwanja kipo pale Njia panda kunapoitwa BUNGONI.
 
mkuu habari...hizo hatua ni za mtu wa kawaida kama mie na wewe tu...sio ndogo wala kubwa sana bali ni medium size, kwa ukubwa eneo ni kubwa kama ni nyumba unaweza jenga ata nyumba ya vyumba 20 mkuu.
Mkuu mie wewe sikufahamu, wala mie hunifahamu,
Pia tunaweza tukawa sawa lakini kila mmoja ana upigaji wake wa hatua
 
ahsante!....nafikiri sina maelezo mengine zaidi ya hayo mkuu.
 
Mkuu Point yangu ni kua Vipimo vya "HATUA" vina ukakasi sababu hakuna kipimo maalumu kua Hatua inatakiwa iweje au iwe na urefu gani.
Lakini ukisema "Mita" au "Futi" inakua rahisi zaidi kueleweka maana popote utakapoenda kipimo cha Mita hakibadiliki, ni kile kile.
 
eneo bado lipo wandugu....maongezi yapo kwa anayehitaji.
 
Mkuu vipi??? Mimi sio mchaga je ninaweza uziwa icho kiwanja???

habari ndugu, eneo halina dhana ya ukabila pale ni mahali ambapo mji unakua kwa kasi kibiashara na makazi pia wapo watu wengi wakiwepo wajeshi wastaafu wamejenga mijengo yao wanaishi kule,nilikuwa nina plot mbili moja niliiuza muda kidogo pale jirani na benki ya NMB ukiwa unatokea njia ya dar....nimebaki na hapo ambapo nimepaweka sokoni kutokana na maswala yangu nahitaji pesa, hiki cha sasa kipo eneo moja wanapaita MABUNGO ukiwa kwenye njia ya kuelekea moshi mjini upande wa kushoto ni mwendo wa dakika 20 kutokea pale mizani, ni hayo tu mkuu karibu!!!
 
Back
Top Bottom