Hizo Hatua ni za Mtu kama Hashim Thabit au Tausi Bongo Movie??Eneo lipo HIMO pale njia panda ya kuelekea moshi mjini na arusha, Eneo ni kubwa lina UREFU: Hatua 65 na UPANA: Hatua 45, kiwanja ni tambarare na kipo umbali wa takribani mita 150 kutokea njia kuu ya mabasi yanayoelekea MOSHI na ARUSHA, kuna mji uliojengeka kwa makazi ya watu kuzunguka eneo hilo...maji na umeme vyote vipo, Kiwanja kimelipiwa documents zote manispaa hadi kufikia mwaka huu, Hakina tatizo au mgogoro wowote.
BEI YAKE NI MILIONI 6.8 ...maongezi yapo kwa atakayehitaji.
MAWASILIANO YANGU: 0712269097.
Hizo Hatua ni za Mtu kama Hashim Thabit au Tausi Bongo Movie??
Mkuu mie wewe sikufahamu, wala mie hunifahamu,mkuu habari...hizo hatua ni za mtu wa kawaida kama mie na wewe tu...sio ndogo wala kubwa sana bali ni medium size, kwa ukubwa eneo ni kubwa kama ni nyumba unaweza jenga ata nyumba ya vyumba 20 mkuu.
Mkuu Point yangu ni kua Vipimo vya "HATUA" vina ukakasi sababu hakuna kipimo maalumu kua Hatua inatakiwa iweje au iwe na urefu gani.ahsante!....nafikiri sina maelezo mengine zaidi ya hayo mkuu.
Mkuu vipi??? Mimi sio mchaga je ninaweza uziwa icho kiwanja???