Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA-NYEBURU-Ilala Dsm

OBWERE

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
46
Reaction score
8
Wasalaam

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa ,kiko NYEBURU Mita 800 kutoka barabara kuu ya lami kituo cha Italian (ukielekea Chanika upande wa kulia)

SIFA ZAKE;kimepimwa kwa uzito wa chin LOW DENSITY 1800 square metres ,utaratibu wa hati uko hatua za mwisho,hakina mgogoro,kuna umeme na barabara ni nzuri unafika mpaka site



Bei ni 16m kwa serious buyer makubaliano yanakaribishwa


Karibuni 0758-88-98-94
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…